Maombi 24/7

Wakati wowote. Tuko hapa kwa ajili yako.

Tupo hapa kwa ajili yako, tupo tayari kuomba na wewe kwa jina la Yesu. Neno la Mungu linasema "Kwa kuwa walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu, nami nipo papo hapo katikati yao." Mathayo 18:20

--:--
--:--
  • cover
    Bethel Radio