Bethel Radio

Ungana Nasi Kuwaleta Maelfu karibu na Yesu

Changia

Bethel Radio ni huduma inayotegemea michango na Sadaka kutoka wasikilizaji na washirika (Partners) wetu kuendelea kuwa hewani. Gharama kubwa ni pamoja na Stream Hosting, Streaming data (Internet), Website Hosting na matengenezo, Administration Costs, Mirabaha na leseni za Muziki, Posho za wafanyakazi na mengine mengi kwa ujumla tunahitaji Tsh. 4,200,000/- (USD 1830) kila mwezi

"Kwa maana siionei haya Injili; kwa sababu ni uweza wa Mungu uuletao wokovu, kwa kila aaminiye…” – Warumi 1:16

Ujumbe huu ni muhimu sana. Kama Wakristo, tumeitwa kuufikia ulimwengu kwa habari njema za injili ya Yesu Kristo pasipo kuona haya yeyote. Na watu wanaposikia habari za Yesu na kuamini – hubadilishwa maisha yao! Ndugu mpendwa Tunahitaji watu kama wewe ambao watasimama na Bethel Radio, kusaidia kuwafikia maelfu ya watu ulimwenguni kwa kutoka Mchango au Sadaka kwa ajili ya kuwezesha huduma kuendelea kuwepo.

Unaweza kutuma Sadaka yako kwa njia zifuatazo na Mungu akubariki.

TIGOPESA

Namba: 0717 364 482
Jina: Ignas Y. Nchimbi

M-PESA

Namba: 0753 217 078
Jina: Ignas Y. Nchimbi

WORLD REMIT | WESTERN UNION

Namba: 0753 217 078
Jina: Ignas Y. Nchimbi

Become part of the Bethel Radio family by signing up to our newsletter for all the latest news