Bethel Radio

Semina

Huduma ya Manna ya Jijini Arusha imeandaa Semina ya Neno la Mungu itakayoanza Tarehe 30 June hadi 5 July 2020. Semina hii itaongozwa na Mwl. Mwakasege unaweza kufuatilia semina hii kupitia Bethel Radio